Mo Music ustaa pembeni..... Ofisini anasaga Mahindi

Описание к видео Mo Music ustaa pembeni..... Ofisini anasaga Mahindi

Msanii wa Bongofleva Mo Music aliwahi kusema ameamua kuweka nguvu zake na pesa yake kushirikiana na Baba yake Mzazi kuwekeza kwenye biashara ya kusaga Mahindi.

Camera ya AyoTV imefika nyumbani kwao na kumkuta Mo Music ameweka Ustaa pembeni na kuingia kuwasagaia Mahindi wateja wanaofika kwenye ofisi ilipo Mashine yao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке