JAPHET ZABRON -KUSUDI LA MUNGU (Official video)

Описание к видео JAPHET ZABRON -KUSUDI LA MUNGU (Official video)

Katika maisha kamwe usikate taamaa kutimiza ndoto zako kwa sababu ya maoni ya Watu wanaokukatisha tamaa ,kukusema vibaya au kukuhukumu…

Maana nguvu na nia ya kukamilisha kilichopo ndani ya moyo wako au kusudi la Mungu kukuumba na kukuweka hai hapa Duniani analielewa na kulitambua Mungu wako pekee.

|| Japhet Zabron

Bible Verse || Efe 6:11-12
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке