MANENO YA MSTAAFU KIKWETE ALIYOMWAMBIA MWANAE RIDHIWANI "WAHESHIMU MAWAZIRI"

Описание к видео MANENO YA MSTAAFU KIKWETE ALIYOMWAMBIA MWANAE RIDHIWANI "WAHESHIMU MAWAZIRI"

Kutoka Msoga Mkoani Pwani kwenye Makazi ya Rais Mstaafu wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo imefanyika party ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2022 iliyoandaliwa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ambaye huwa anaziandaa sherehe hizi kila mwaka.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке