Maswali kwa Ridhiwani ikiwemo ile ya kushikwa China, historia yake na mengine

Описание к видео Maswali kwa Ridhiwani ikiwemo ile ya kushikwa China, historia yake na mengine

Ridhiwani Kikwete ni Mbunge wa Chalinze lakini pia ni mtoto wa Rais wa awamu ya nne Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ambapo amekuja kwenye studio ya Millard Ayo na kukubali kutoa ufafanuzi wa ishu mbalimbali.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке