Watu wawili wafariki kwenye jumba lililoporomoka Ruaka

Описание к видео Watu wawili wafariki kwenye jumba lililoporomoka Ruaka

Watu wawili wamefariki baada ya jumba kuporomoka katika eneo la Ruaka usiku wa kuamkia leo. Waliofariki ni mtu na mkewe waliokuwa wakiishi kwenye sehemu moja ya jumba hilo lililokuwa likijengwa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке