Kaa la ukahaba | Wanawake wanageukia ukahaba kuepuka umaskini

Описание к видео Kaa la ukahaba | Wanawake wanageukia ukahaba kuepuka umaskini

Ukahaba humu nchini unajulikana kukita mizizi angalau katika kila sehemu. Lakini katika la Mtwapa kaunti ya Kilifi, ukahaba umeonekana kuendelea kama biashara nyingine ile inayowapa wanawake wengi nafasi ya kujikimu. Hata hivyo, kama Raquel Muigai anavyoarifu, licha ya kuwa wengi wanahisi kuwa hawakuwa na namna ila kushiriki ukahaba, madhila ya biashara hii ni makubwa kwa wengi wao

Комментарии

Информация по комментариям в разработке