BILA KUOGOPA: MFANYABIASHARA ABISHANA NA RC CHALAMILA MGOMO WAFANYABIASHARA KARIAKOO

Описание к видео BILA KUOGOPA: MFANYABIASHARA ABISHANA NA RC CHALAMILA MGOMO WAFANYABIASHARA KARIAKOO

BILA KUOGOPA: MFANYABIASHARA ABISHANA NA RC CHALAMILA MGOMO WAFANYABIASHARA KARIAKOO.

Mkuu wa Mkoa wa Dar- es Salaam Mhe. Albert Chalamila amesema “Nikisema Mkuu wa Mkoa nije dukani kwako niangalie kiwango kikubwa cha ukwepaji wa kodi unaofanyika nyie mtaishi hapa Kariakoo?, kwahiyo sio kwamba Mimi ni Chizi, sio kwamba sina akili nafahamu kuna wakati mwingi risiti hamtoi lakini sijawahi kuwapeleka Mahakamani lakini nyie muda mfupi tayari maduka yenu mmefunga basi InshaAllah Mungu atatufikisha mahali pema”

Комментарии

Информация по комментариям в разработке