Mashabiki wacharuana kuhusu kiwango cha Feitoto "ni zaidi ya Chama na Aziz Ki" (NONGWA ZA MSIMU)

Описание к видео Mashabiki wacharuana kuhusu kiwango cha Feitoto "ni zaidi ya Chama na Aziz Ki" (NONGWA ZA MSIMU)

Cheki zogo lililoibuka kwenye kipindi cha Nongwa za Msimu, mashabiki wakibishana kuhusu kiwango cha Feisal Salum Feitoto, wengine wakisema eti ni zaidi ya Chama na Aziz Ki, huku wengine wakisema hana kiwango cha kucheza Yanga.

#NongwaZaMsimu ni kila Jumapili saa 3:30 usiku #AzamSports1HD

Комментарии

Информация по комментариям в разработке