Bagamoyo Sugar yaajiri zaidi ya wafanyakazi 1500

Описание к видео Bagamoyo Sugar yaajiri zaidi ya wafanyakazi 1500

Uongozi wa kampuni ya Bagamoyo Sugar Limited umeishukuru Serikali kwa kuwezesha kukamilika ujenzi wa kiwanda hicho na tayari kimeingiza bidhaa sokoni na kuajiri wafanyakazi zaidi ya 1500.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке