Angalia Mbunge Sendeka alivyotinga nyumbani kwa kina Yona # Asindikizwa na Kijiji kizima

Описание к видео Angalia Mbunge Sendeka alivyotinga nyumbani kwa kina Yona # Asindikizwa na Kijiji kizima

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara Mh. Christopher Ole Sendeka na Mfanyabiasha na Mfanyabiasha maarufu wa Madini ya Tanzanite katikamji mdogo wa Mirerani Sanare Sailep Mollel ( Mula ) wameendesha harambee ya kumchangia mtoto Yona Zanack Alabara aliyefaulu kidato cha nne na kuendelea na masomo yake ya kidato cha Tano na sita katika shule ya Sekondari Mgutwa iliyopo katika kata ya Mirerani Wilayani Simanjiro na kupata division 1 ya point 16

Lengo kuu ni kumpongeza Kwa kufaulu lakini pia kumchangia pesa za kuweza kumnunulia kifaa cha kumuongezea usikivu kwani anakabiliwa na tatizo la usikivu hafifu, na hivyo kupelekea kuchangiwa jumla ya sh.mil.10, N'gombe na mbuzi lukuki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке