Casfeta Mzumbe Mbeya - Unatawala (Official Music Video)

Описание к видео Casfeta Mzumbe Mbeya - Unatawala (Official Music Video)

Danieli 4:17(b)
‘‘Kusudi walio hai wapate kujua ya kuwa aliye juu anatawala’’
Nyimbo hii ni ibada kwa Mungu wetu iliyojaa shauku ya kueleza sifa za Mungu duniani kote. Wanadamu wana utawala wao, wanyama na ndege pia wana utawala wao, lakini yupo anaetawala juu ya vyote hivyo na ndiye anaestahili kuabudiwa. Tunaamini utakapoisikiliza nyimbo hii itakupa nafasi ya kumfanyia Mungu ibada pamoja nasi naye Mungu atadhihirisha utawala wake kwenye maisha yako.
………………..

AUDIO MIXING & MASTERING
:Winner Silayo – EI ROI Record
AUDIO CAPTURING
:Elisha Kandonga
VIDEO DIRECTOR
:John J0el
SOUND ENGINEER
:Ipyana Kandonga
………………..
LIVE RECORDED AT TAG FOREST YA KWANZA – MBEYA (PRAYER ROOM)
THEME: GRACE UPON GRACE (We are favored)

MD/ARRANGER: Winner Silayo
1st AUX: Joshua Ezekiel
2nd AUX: Ismail Seiph
3rd AUX: (Synth Lead//Brass): Winner Silayo
DRUMMER: Samwel Benedict
BASSIST: Samwel Nyalusi
LEAD GUITER: Emmanuel Mgongoma
………………..
SUNG by Debora Apolinary
SONG COMPOSED by Peter Paul
PRAISE TEAM CHAIRPERSON: Elifuraha Mduma

#Unatawala
#CasfetaTayomi
#MzumbeMbeya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке