Umestahili Yesu - Tafes Aru Praise & Worship | Live Music Video

Описание к видео Umestahili Yesu - Tafes Aru Praise & Worship | Live Music Video

#UmestahiliYEsu #Youdeserve #tafesaru
Ufunuo 4:10 -11 wale wazee ishirini na wanne walianguka mbele zake yeye aliyeketi kwenye kiti cha enzi na kumwabudu yeye aliye hai milele na milele. Wakaziweka taji zao mbele ya kile kiti cha enzi wakisema,
11 “Bwana wetu na Mungu wetu, wewe umestahili kupokea utukufu na heshima na uweza, kwa maana ni wewe uliyeviumba vitu vyote, na kwa mapenzi yako vitu vyote viliumbwa na vinapata kuwapo"

Live Recorded at CCC Upanga
Song : Umestahili Yesu
Singers: Tafes ardhi Praise & Worship team
Event: Love is Perfect Season 9
Music Director - Erasto Zephania
Video Captured and Mastered by Kababah Digital Media_ #kababah
Audio Mastered/Mixed by Erasto Zephania_ Ezek Music

Connect with us👍📶
Instagram:   / tafesardhi  
Facebook:   / tafesardhi  

#tafesardhi #LoveisPerfectUnity #Determined_to_Live_In_Christ

Комментарии

Информация по комментариям в разработке