UBAHILI WA WA DUTCH |NAMNA YA KUCHAGUA MWENZA

Описание к видео UBAHILI WA WA DUTCH |NAMNA YA KUCHAGUA MWENZA

Dorice, ametoa mtazamo wake kuhusu wanaume wazungu wa Uholanzi, na namna gani unaweza kupata mwenza.

Pia ametuambia, ni lazima ujue unahitaji nini kutoka kwa mwenza.
Ni sawa upo kwa fundi cherehani umeenda kushona nguo, utachagua mtingo wa nguo unaoutana na details zake.

I Hope Video hii itakupa mafunzo mazuri.
Enjoy and Learn
Singles = Date with INTENT

Thank you to Dorice for allowing it to be online

Комментарии

Информация по комментариям в разработке