NIMEDANGANYA SANA SASA BASI INATOSHA| UKWELI HUMUWEKA MTU HURU

Описание к видео NIMEDANGANYA SANA SASA BASI INATOSHA| UKWELI HUMUWEKA MTU HURU

Rexy, amekutana na mume wake mtarajiwa kupitia mtandao wa kimahusiano. Ameeleza ugumu wa kusema ukweli juu ya wapi wamekutana kutokana na mtazamo wa online dating kwa watu wengine wanaotuzunguka.

Ameeleza ndoto yake na namna alivyoipambania kuhakikisha anatimiza lengo.

Enjoy and Learn !
Thank you Rexy for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке