VIKUNDI 67 KUNUFAIKA NA MIKOPO YA 10% MPANDA.

Описание к видео VIKUNDI 67 KUNUFAIKA NA MIKOPO YA 10% MPANDA.

Wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kutumia mikopo hiyo kwa malengo yaliyokusudiwa ili kuepusha usupufu wa kufanya marejesho kwa wakati na wengine kukimbia na mikopo hiyo. Hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la Mpanda mjini Sebastian Kapufi katika hafla ya kukabidhi hundi ya mikopo hiyo huku Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda Deodatus Kangu akidai serikali imeamua kuwainua watu wake kiuchumiNae Afisa maendeleo ya jamii Manispaa ya Mpanda Irene Kileo amesema deni la mikopo iliyopota nizaidi ya milioni 200 ambapo mikakati ya kufuatilia fedha hizo inaendelea huku huku wanufaika wakitoa shukurani kwa mikopo hiyo.Zaidi ya milioni 600 zinatolewa kwa vikundi zaidi ya 60 vilivyokidhi vigezo ndani ya Manispaa ya Mpanda.#tanzania #clamvevo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке