BARAKA MPENJA AKUTANA LIVE NA RUJUGIRO BARAKA MPENJA WA MCHONGO WA APR YA RWANDA/WATANGAZA PAMOJA

Описание к видео BARAKA MPENJA AKUTANA LIVE NA RUJUGIRO BARAKA MPENJA WA MCHONGO WA APR YA RWANDA/WATANGAZA PAMOJA

Siku za Karibuni kwenye Mashindano ya Dar Port Kagame Cup, Uwanja wa KMC Mwenge, kuna Shabiki mmoja wa timu ya APR FC ya Rwanda ambaye anavalia Kijeshi, maarufu kwa jina la Rujugiro, ali-trend kwa kuigiza akitangaza mpira kama Baraka Mpenja, Mwamba wa Umalila.

Moja ya ndoto ya Rujugiro ilikuwa ni kuonana ana kwa ana na Mtangazaji Baraka Mpenja na hatmaye wameonana baada ya Shabiki huyo kualikwa kutembelea Ofisi ya Mpenja TV, Tabata Magengeni, Dar Es Salaam.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке