MAOMBEZI YA ARDHI (UDONGO) DAY ONE - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Описание к видео MAOMBEZI YA ARDHI (UDONGO) DAY ONE - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Ikiwa ni siku ya kwanza katika siku mbili za maombezi ya Ardhi, Mungu kwa kutumia Mtumishi wake Pastor Sunbella Kyando, Watu wa wamefunguliwa juu ya vifungo mbali mbali vilivyofungwa kwenye eneo la Ardhi kwenye Uchumi, Nguvu za giza na kwenye kila eneo ambalo limeshikilia watu kwenye eneo la Ardhi.
Ungana nasi upokee baraka na Mungu akubaliki.


#DODOMA #SUNBELLAKYANDO

UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA
SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook:   / therealityof.  .
Follow our Instagram:   / realityofch.  .
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке