Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Elimu Ya Pesa: Boom La Chuo Lilivyoweza Kununua Kiwanja | SALAMA NA DANIEL KIJO PART 2

  • YahStoneTown
  • 2022-08-08
  • 25708
Elimu Ya Pesa: Boom La Chuo Lilivyoweza Kununua Kiwanja | SALAMA NA DANIEL KIJO PART 2
  • ok logo

Скачать Elimu Ya Pesa: Boom La Chuo Lilivyoweza Kununua Kiwanja | SALAMA NA DANIEL KIJO PART 2 бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Elimu Ya Pesa: Boom La Chuo Lilivyoweza Kununua Kiwanja | SALAMA NA DANIEL KIJO PART 2 или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Elimu Ya Pesa: Boom La Chuo Lilivyoweza Kununua Kiwanja | SALAMA NA DANIEL KIJO PART 2 бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Elimu Ya Pesa: Boom La Chuo Lilivyoweza Kununua Kiwanja | SALAMA NA DANIEL KIJO PART 2

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460

Kwenye maisha kuna watu ambao ukitutana nao tu unaamini wana kitu kizuri ndani yao na bila ya shaka watakua na mafanikio mengi tu huko mbele tuendako, hii ndo hisia ambayo mimi nimekua nayo toka siku ya kwanza naonana na Daniel Kijo. Mwerevu, mcheshi, ana muonekano mzuri na mkarimu, ila kubwa kabisa ana akili, mgunduzi na mtafutaji hasa, toka siku ya kwanza.
Ukiachana na kwamba pengine ametoka kwenye familia ambayo kipato chake si kibaya na amesoma shule nzuri sana, Daniel hakuwahi kijikweza na kujiona yeye BORA zaidi ya wengine alionao chumba kimoja.

Nilikutana nae EATV wakati yeye akiwa bado mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam lakini wakati huo huo anafanya kazi ili mambo yake mengine yaende vizuri. Na kazi alikua anaifanya kwelikweli, ikiwa ya kutaarisha yani kwenda kuitafuta habari na kuifanyia uchunguzi na kuhakikisha inarekodiwa vizuri, na kama itahitaji sauti basi ataiwekea na mwisho kabisa yeye ndo atakua mtangazaji wa hiko kipindi wakati watazamaji wanakiona kwa mara ya kwanza.
Nadhani utashi huo ndo ulimfanya aone unajua nini, mbona mi naweza kufanya mwenyewe hii? Mbona nisitoke tu hapa na kuanzisha kitu changu mwenyewe? Na hilo alilifanya.

Daniel ananielezea mitihani aliyopitia baada ya kuamini kama anaweza kufanya shughuli za uzalishaji wa vipindi na mauzo mara baada ya kujikusanyia PENSHENI yake, anakumbuka kama wakati huo ulikua ukiacha kufanya kazi, ulikua na uwezo wa kwenda kuchukua NSSF yako na ukajianzishia biashara yako. Daniel anasema alienda akanunua ma camera na vifaa vyengine akiamini kabisa kama maisha ndo yameanza sasa, ila dunia ndo ilimuonyesha kwamba ki ukweli vitu si RAHISI kama ambayo alikua anadhania. Na kwenye kipindi hiki ndo ambacho aliwajua Ndugu zake ni nani na marafiki zake ni nani. Maana Rhumba lilikua si la NCHI hii.

Daniel ameshawahi kuanzisha na kufanya vipindi mbali mbali vya TV hapa nyumbani na kwenye TV stations tofauti tofauti kwahiyo ashakutana na mabosi na wafanyakazi wa aina tofauti tofauti sana. Na akiwa huko kwenye safari yake hiyo ndo imemjenga awe huyu ambaye tunampenda na kujifunza kutoka kwake sasa.
Miaka ya hivi karibuni Daniel amekua akiyafanyia kazi mashirika mbalimbali ya habari ya kimataifa hapa nyumbani na hii ni kazi ambayo yeye na MKE wake walipambana nayo sana mpaka ikadondokea kwenye mapaja yao.

Daniel pia anatuhadithia jinsi ambavyo alikutana na mke wake, mazingira ambayo walikutana na jinsi ambavyo walianza kuongea, mara ya kwanza alivyompeleka kwa wazazi wake na jinsi ambavyo wanaishi kwa misingi ya kujijali wao na afya zao. Daniel anatuambia jinsi ambavyo anapenda anavyokua anaenda shuleni kwa mtoto wake na kuwa yeye ndo Baba cool kuliko wazazi wengine, na hii anaipambania sana kwasababu ni moja ya vitu vinavyompa raha. Daniel anapenda mazoezi, analinda afya ya akili yake na mwili wake na ni mtu ambaye anajifunza sana, tena kila siku.

Yangu matumaini episode hii yangu na Rafiki yangu itakusaidia hapa na pale kuhusu kujiamini na kujijali ki mwili na ki roho maana mwisho wa siku, hakuna anayekuja kukusaidia kwenye hayo. Mwisho wa siku hayo ni maisha yako na jinsi gani unataka kuyaishi ki ukweli ni juu yako.

Tafadhali enjoy,
Love,
Salama.

Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • "Niliacha Kazi Ili Kujitegemea, Nilifilisika, Haikuwa Rahisi" |SALAMA NA DANIEL KIJO PART 1
    3 года назад
  • DJ SMA achambua KUHUSU USHIRIKIANO wa IRAN na URUSI ni HATARI KWENYE SILAHA dhidi ya MAREKAN/ISRAEL
    DJ SMA achambua KUHUSU USHIRIKIANO wa IRAN na URUSI ni HATARI KWENYE SILAHA dhidi ya MAREKAN/ISRAEL
    19 часов назад
  • PART II: KUHUSU KUACHANA NA KAREN
    PART II: KUHUSU KUACHANA NA KAREN "I DON'T TRUST ANYBODY, YA OMMY DIMPOZ NA KAREN NIMEYASIKIA" -JUX
    1 год назад
  • რატომ ანელებს მოძრაობა დროს? მეცნიერული ახსნა.
    რატომ ანელებს მოძრაობა დროს? მეცნიერული ახსნა.
    8 часов назад
  • USIOGOPE KATI YA TSH. MILIONI SITA NA MILIONI MIASITA UNAWEZA KUMILIKI KIWANDA
    USIOGOPE KATI YA TSH. MILIONI SITA NA MILIONI MIASITA UNAWEZA KUMILIKI KIWANDA
    3 года назад
  • Salama Na FAROUK KAREEM SE6 EP54 | SAILOR PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Salama Na FAROUK KAREEM SE6 EP54 | SAILOR PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    3 года назад
  • ASIMULIA MDOGO WAKE ALIVYO FARIKI KWA TATIZO LA AFYA YA AKILI
    ASIMULIA MDOGO WAKE ALIVYO FARIKI KWA TATIZO LA AFYA YA AKILI
    2 года назад
  • The Story Book: Mjue JEKSHENI / Hadithi Kamili ya Maisha ya Jackie Chan
    The Story Book: Mjue JEKSHENI / Hadithi Kamili ya Maisha ya Jackie Chan
    3 года назад
  • Hərşeyşünas #22 — İçkili Yazıçı, Çayxana, Manafın Qonşusu, Ailə Haqqında
    Hərşeyşünas #22 — İçkili Yazıçı, Çayxana, Manafın Qonşusu, Ailə Haqqında
    1 год назад
  • Safari Ya Dina : Asimulia Msoto Aliopitia Kabla Kuwa Mtangazaji | SALAMA NA DINA MARIOUS  PART 1
    Safari Ya Dina : Asimulia Msoto Aliopitia Kabla Kuwa Mtangazaji | SALAMA NA DINA MARIOUS PART 1
    3 года назад
  • Uchambuzi wa kina10:Vita ya Iran( yaliyojiri baada ya uteuzi wa kiongozi mpya wa Iran)
    Uchambuzi wa kina10:Vita ya Iran( yaliyojiri baada ya uteuzi wa kiongozi mpya wa Iran)
    7 часов назад
  • "Nilianza Kujitegemea Nikiwa Na Miaka 17" AY Afunguka Maisha Kabla Ya Umaarufu | SALAMA NA AY PT 1
    3 года назад
  • EXCLUSIVE: JUX AONGEA YOTE KUHUSU KUACHANA NA KAREN, AJIBU YA JACKLINE CLIFF NA MENGINE - PART ONE
    EXCLUSIVE: JUX AONGEA YOTE KUHUSU KUACHANA NA KAREN, AJIBU YA JACKLINE CLIFF NA MENGINE - PART ONE
    1 год назад
  • Пентагон готовит дерзкую операцию против Ирана / Тайная игра Трампа и Нетаньяху /№1107/ Юрий Швец
    Пентагон готовит дерзкую операцию против Ирана / Тайная игра Трампа и Нетаньяху /№1107/ Юрий Швец
    4 часа назад
  • 🔴 СРОЧНО АВИАУДАР ПО МИТИНГУ В ИРАНЕ, БАЛЛИСТИКА ПО ТУРЦИИ #новости #одиндень
    🔴 СРОЧНО АВИАУДАР ПО МИТИНГУ В ИРАНЕ, БАЛЛИСТИКА ПО ТУРЦИИ #новости #одиндень
    8 часов назад
  • ЛИПСИЦ
    ЛИПСИЦ "Срок - три недели. Готовимся". Что будет с нефтью, КАРТЫ У КРЕМЛЯ, Иран, золото
    7 часов назад
  • ‼️Джихад против США и Израиля. Флот Евросоюза на Кипре. Украина защищает Иорданию / Выпуск новостей
    ‼️Джихад против США и Израиля. Флот Евросоюза на Кипре. Украина защищает Иорданию / Выпуск новостей
    Трансляция закончилась 9 часов назад
  • Приветствия, Эпизод 25 | Часть MTOGAPAAFWE
    Приветствия, Эпизод 25 | Часть MTOGAPAAFWE
    5 лет назад
  • Hahaa  Mahojiano na Mbwana Samatta BBC, afunguka usiyoyajua, utavunjika mbavu
    Hahaa Mahojiano na Mbwana Samatta BBC, afunguka usiyoyajua, utavunjika mbavu
    6 лет назад
  • Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    2 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com