KANISA LA KISINODI - kwaya ya Roho Mtakatifu Seminari Kuu Njiro - Arusha.

Описание к видео KANISA LA KISINODI - kwaya ya Roho Mtakatifu Seminari Kuu Njiro - Arusha.

Hii ni kwaya ya Roho Mtakatifu Seminari Kuu Njiro - Arusha. Hiii ni moja kati ya nyimbo zilizopo ndani ya Albam iendayo kwa jina la NJOONI MLIOBARIKIWA iliyo beba ujumbe juu Ya Kanisa letu la kisinodi. Tuungane nao nao katika kutazama kazi hiii nzuri, na pia waweza kuwa wakala wa kazi hii kwa kuisambaza kazii hii kwa kushare na kusubscribe chanel yetu. Asante....

-Utunzi wake Frt. Bathlomeo Florian. S.C.A.
-Audio By: Pinsi Productions
-Video by : STUDIO iRIS PRO

Kindly Like, share and Subscribe For More🔥

Комментарии

Информация по комментариям в разработке