NJOONI MLIOBARIKIWA (Official Video) - kwaya ya Roho Mtakatifu Seminari Kuu Njiro - Arusha.

Описание к видео NJOONI MLIOBARIKIWA (Official Video) - kwaya ya Roho Mtakatifu Seminari Kuu Njiro - Arusha.

Hii ni kwaya ya Roho Mtakatifu Seminari Kuu Njiro - Arusha. Hiii ni moja kati ya nyimbo zilizopo ndani ya Albam iendayo kwa jina la NJOONI MLIOBARIKIWA. Hii ndio nyimbo iliyo beba jina la Albam yenye ujumbe juu maisha yetu hapa duniani yawe ya kumpendeza mwenyezi mungu ili kusudi lake kwetu sisi hapo mwisho turudi kwake na kufurahi pamoja nae kwenye yerusalem mpya ambako tutaishi nae milele yote. Tuwajali wenzetu walio katika shida mabalimbali hapa Duniani Hasa watoto Yatima Walemavu na walemavu na wale wote wanaohitaji msaada wetu. Tuungane nao nao katika kutazama kazi hiii nzuri, na pia waweza kuwa wakala wa kazi hii kwa kuisambaza kazii hii kwa kushare na kusubscribe chanel yetu. Asante....

-Utunzi wake Alex Rwelamira.
-Audio By: Pinsi Productions
-Video by : STUDIO iRIS PRO

Kindly Like, share and Subscribe For More🔥

Комментарии

Информация по комментариям в разработке