BINTI TESSY

Описание к видео BINTI TESSY

Mimi ni mchaga ila nilizaliwa Arusha katika hospitali ya mount meu mwaka 1993 na wazaz wangu walifarikimyaan hata sijawah kuwaona so nililelewa na bibi nae alifariki nikiwa darasa la tano nikachukuliwa na shangazi yangu ambae alinilea mpaka nafika darasa la saba akanambia natakiwa nikatafute Maisha na sikujua hata hayo Maisha naenda kuyatafuta vipi na ule umri niliokuwa nao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке