Kinara wa ODM Raila Odinga aelezea Uhuru Kenyatta alivyomshauri

Описание к видео Kinara wa ODM Raila Odinga aelezea Uhuru Kenyatta alivyomshauri

Kinara wa ODM Raila Odinga sasa ameelezea namna rais mstaafu Uhuru Kenyatta alivyoshiriki katika kuhusika kwake na kubuniwa kwa serikali ya muungano. Raila akipasua mbarika kuhusu namna Uhuru Kenyatta alivyomtaka afanye mazungumzo na Rais Ruto kufuatia machafuko ya vijana wa Gen Z.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке