AIC Ziwani English Choir || Nairobi - Ninaye Yesu

Описание к видео AIC Ziwani English Choir || Nairobi - Ninaye Yesu

Ninaye Yesu mchungaji wangu; Huniongoza njiani mwake,
Katika msalaba akatoa damu; Nisitengane naye Mwokozi.

Kumfuata Yesu pote alipo, Hakuna kitu kinichindacho
Mchana usiku siku zote Kiongozi wangu ndiye Mwokozi

Malisho yake yanitosha kweli, Maji mazuri riziki tele
Baraka zake hunifuata pote, Sipungukuwi kitu chochote

Niondokapo njiani mwa Bwana, Hunirudisha nisipotee
Gizani kwa kifo sina hofu sasa, Anichungaye yuko karibu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке