Msukuma awavaa mawaziri aikataa taarifa ya Kunambi" hii ni aibu, madudu mengi"

Описание к видео Msukuma awavaa mawaziri aikataa taarifa ya Kunambi" hii ni aibu, madudu mengi"

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Msukuma akichangia maoni yake kwenye taarifa ya kamati kuhusu ripoti za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2022

Комментарии

Информация по комментариям в разработке