My Top 10 Books of 2022 📚

Описание к видео My Top 10 Books of 2022 📚

Japo nimesoma vitabu vingi kwa mwaka huu, lakini these are my favourite... nilivenjoy sana.

lakini pia kuna vingine vingi ambavyo sikuvipenda nikaviishia njiani - life is too short to read bad books 😃

Asante kwa kutazama video ya leo. Unaweza kuacha comment hapo vitabu vipi umevisoma na kuvipenda kwa mwaka huu? Je, unaplan kusoma vitabu vingapi next year?

♡♡♡

Unaweza kunicheck kupitia mitandao ya kijamii:
♡Twitter:   / shussajane  
♡Instagram:
  / janeshussa  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке