Vitabu vya Kiswahili nilivyovisoma na unapoweza kuvipata

Описание к видео Vitabu vya Kiswahili nilivyovisoma na unapoweza kuvipata

Mambo vipi?

Katika video ya leo nashare nanyi vitabu vya Kiswahili nilivyovisoma na mahali unaweza kuvipata.

♡ Jinsi ya Kurudi Nyumbani - Esther Mngodo.
Kitabu kinauzwa kwa 15,000Tsh

Kinapatikana:
1. TPH Samora (Dar + Dodoma)
2. A Novel Idea, Slipway
3. Elite bookstore
4. Kase Bookstore (Arusha)
5. The Ridge coffee shop, Masaki

♡ Fumbo - Maundu Mwingizi, Huba, Fungate na Rafu - Fadhy Mtanga, Miss TZ - Hussein Tuwa, Hatinafsi - Lilian Mbaga: vitabu hivi utavipata:


1. Duka Kona ya Riwaya, Kinondoni Biafra 0655428085
2. Duka la Creative Ideas, Kariakoo 0769776650
3. Posta Mpya, mkabala na Sanamu ya Askari 0755454152
4. Elite Bookstore, Tangibovu, njiapanda ya Goba.

♡ Mbali na Nyumbani - Adam Shafi, love bombs - Richard Mabala vinapatikana: TPH Samora

♡ Mimi na Rais - Lello Mmassy kinapatikana

1. Duka Kona ya Riwaya, Kinondoni Biafra
2. House of Wisdom, Posta

♡ The wave - Rahma Bajun kinapatikana
1. TPH Samora
2. Books Vee Bay, Masaki

Asante kwa kutazama video ya leo. Unaweza kuacha comment hapo kitabu gani ungependa kisoma au ni kipi umekisoma.

♡♡♡

Unaweza kunicheck kupitia mitandao ya kijamii:
♡Twitter:   / shussajane  
♡Instagram:
  / janeshussa  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке