#TBC

Описание к видео #TBC

Mbunge wa Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam Dkt.
Faustine Ndugulile amesema kumekuwa na uuzwaji holela wa dawa nchini na kushauri kuwekwa kwa mifumo thabiti ya kuzuia uuzaji wa dawa hizo.

Akitolea mfano wa uuzwaji wa dawa aina ya P2 amesema, zinauzwa kilolea bila kutolewa ushauri wa kitaalamu kwa watumiaji.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке