Dakika 35 za Bashe bungeni, Madiwani wa CCM, maofisa ushirika watatu waswekwa ndani Tabora

Описание к видео Dakika 35 za Bashe bungeni, Madiwani wa CCM, maofisa ushirika watatu waswekwa ndani Tabora

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Madiwani wawili wa CCM pamoja na maofisa ushirika watatu wamekamatwa kwa madai ya kuendesha biashara ya kangomba kwenye zao la tumbaku.

Akihitimisha hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2024/25, leo Ijumaa, Mei 3, 2024, Waziri Bashe amesema anamshukuru Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwa kuwakamata watu hao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке