Mji wa yerusalemu unatambulika kama mahali patakatifu

Описание к видео Mji wa yerusalemu unatambulika kama mahali patakatifu

Mji wa Jerusalem unatambulika kama mahali patakatifu katika dhehebu la uyahudi. Maelfu ya waumini hukifika hapa kufanya maombi. Stephen Letoo alizuru mji wa jerusalem nchini Israel na kutangamana na waumini katika ukuta wa hekalu unaotajwa kwenye bibilia na sasa anatupa simulizi kuhusu aliyoshuhudia.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке