Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!

Описание к видео Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!

Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!

Rais Dk John Magufuli amelitaka shirika la umeme nchini TANESCO kuwasaidia wabunifu na wazalishaji ili waweze kuzalisha umeme mwingi zaidi.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo alipokutana na John Mwafute pamoja na Gairos Ngairo ambao ni wakazi wa Mkoa wa Njombe wanaojishughulisha na uzalishaji umeme kwa njia ya maji na kusambaza kwa wakazi katika maeneo yao, Ikulu jijini Dar es salaam ambapo wazalishaji hao wamepewa jumla ya shilingi millioni 55 kwa ajili ya kuendeleza kazi zao, ambapo Rais amewachangia milioni tano,

Aidha katika hatua nyingine Rais Magufuli ametoa maagizo wabunifu hao kupewa cheti cha kutambua mchango wao katika maendeleo ya Taifa, na kuongeza kuwa kwakuwa wao hawana elimu yoyote juu ya umeme CHETI hicho ndicho kitakuwa utambulisho wao.

#IKULU

Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers

Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Комментарии

Информация по комментариям в разработке