Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO

  • LENZI | Michael Kamukulu
  • 2025-02-01
  • 8777
ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO
  • ok logo

Скачать ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO

Watu wengi huamini kuwa ukomavu huja na umri, lakini ukweli ni kwamba ukomavu uko kwenye uwezo wako na jinsi unavyoshughulikia na kuzikabili changamoto za maisha ya kila siku. Waonyeshe ukomavu wale wanaohitaji kuwa chini ya ushawishi wako.

Je, unazijua ishara 10 zinazokusaida kujua kama umekomaa kiupeo, kifikra, kiakili ana kimtazamo?
Katika video hii, tunazichambua hizo ishara 10 za ukomavu kwenye maeneo ya akili, upeo, fikra na mtazamo. Unagana na Michael Kamukulu kupitia ‪@lenzi.michaelkamukulu‬ na ‪@lenzimeacademy‬ upate kujifunza zaidi.

Unahitaji kuwa na mipango ya mafanikio inayokupa matokeo kwenye maamuzi unayofanya kwa ajili ya maisha yako ya kila sku wewe na watu wako wa karibu. Huwezi kuwa mtu mkubwa, mtu wa pekee au mtu wa tofauti bila kuwa na ukomavu kwenye maeneo ya msingi.

Unahitaji ukomavu kifikra na kiupeo ili kuweza kufikia hatua na viwango vya juu vya mafanikio na matokeo kwenye maeneo ya kifedha, kiutawala, kiumiliki na kiushawishi. Na ukishakuwa kinara kileleni kwenye eneo lako la mafanikio, unahitaji pia kuwa na ukomavu na uwezo wa kudumu na kuendeleza ukuaji wako na mafanikio yake katika maeneo hayo.

Pesa inakaa kwa wenye ukomavu wa kipesa, mahusiano yenye kudumu yanapatikana kwa wenye ukomavu kwenye eneo la mahusiano.

Ukifikia kiwango hiki cha ukomavu, maisha yako yanabadilika kwa kiasi kikubwa – unakuwa na amani, unajiamini zaidi, na unajua nini kinastahili muda wako.

Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Pata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku.

📌 Unapojitambua, unajifunza:
✅ Kutopoteza muda kwa ushindani usio na maana
✅ Kuthamini faragha yako na kuchagua marafiki wa kweli
✅ Kuwa msikilizaji mzuri na kupokea maoni kwa busara
✅ Kutanguliza furaha yako na kuheshimu maamuzi yako

Tazama video hi hadi mwisho ili upate mafunzo yote muhimu.

🔔 Usisahau:
✔️ Ku-like, ku-subscribe, na kushare na wengine!
✔️ Kuweka maoni yako—ni ipi ishara inayokuvutia zaidi?

———————————————
Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo:

1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching)
2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching)
3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development)

Mawasiliano yetu:
Simu: +255 752 465 039
Baruapepe: lenzimindset@gmail.com

* *

Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk

#HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy

* *

⏳ Time Stamps:
00:00 Ishara 10 za ukomavu
00:20 1. Haushindani na watu
01:06 2. Hufuatilii mambo ya watu
01:42 3. Furaha yako ni jukumu lako
02:18 4. Unatabasamu mbele ya wabaya wako
02:41 5. Utaheshimu maamuzi yako
03:21 6. Hautavumilia mahusiano yasiyo na faida
03:57 7. Utakuwa msikilizaji
04:21 8. Hautalazimisha kukubalika
04:56 9. Utajengeka kwenye nyakati ngumu
05:37 10. Utathamini faragha yako

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako)
    SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako)
    1 год назад
  • MAAMUZI YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO
    MAAMUZI YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO
    5 лет назад
  • NJIA 7 ZA KUWA MTU MKUBWA NA KUKAA JUU KILELENI (MTU WA TOFAUTI MWAKA 2025)
    NJIA 7 ZA KUWA MTU MKUBWA NA KUKAA JUU KILELENI (MTU WA TOFAUTI MWAKA 2025)
    1 год назад
  • JIWEKEE MIPAKA INAYOLINDA MASLAHI YA MAFANIKIO YAKO KWENYE MAISHA | Michael Kamukulu
    JIWEKEE MIPAKA INAYOLINDA MASLAHI YA MAFANIKIO YAKO KWENYE MAISHA | Michael Kamukulu
    1 год назад
  • Vitu  Vya Kufanya Ili Ufanikiwe - Joel Nanauka
    Vitu Vya Kufanya Ili Ufanikiwe - Joel Nanauka
    4 года назад
  • Dr. Chris Mauki: Je una mahusiano ya mbali na mpenzi wako? Zingatia haya!
    Dr. Chris Mauki: Je una mahusiano ya mbali na mpenzi wako? Zingatia haya!
    10 месяцев назад
  • TABIA 6 ZA MAFANIKIO YA PESA
    TABIA 6 ZA MAFANIKIO YA PESA
    5 лет назад
  • Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini
    Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini
    6 месяцев назад
  • TUMIA KANUNI HII YA OPM KUPATA UTAJIRI MKUBWA | Victor Mwambene.
    TUMIA KANUNI HII YA OPM KUPATA UTAJIRI MKUBWA | Victor Mwambene.
    1 год назад
  • Madhara ya Kukosa NIDHAMU YA PESA (Tabia 6 Mbaya kwenye Fedha)
    Madhara ya Kukosa NIDHAMU YA PESA (Tabia 6 Mbaya kwenye Fedha)
    1 год назад
  • Jinsi ya Kuacha Tabia Ambazo Zinakusumbua na Huzipendi | Michael Kamukulu
    Jinsi ya Kuacha Tabia Ambazo Zinakusumbua na Huzipendi | Michael Kamukulu
    10 месяцев назад
  • UKOMBOZI WA FIKRA ZA MWAFRIKA - Denis Mpagaze
    UKOMBOZI WA FIKRA ZA MWAFRIKA - Denis Mpagaze
    4 года назад
  • LIVE WISDOM : NJIA MBILI ZA KUONGEZA UWEZO WA UBONGO WAKO KUFIKIRI -JOEL NANAUKA
    LIVE WISDOM : NJIA MBILI ZA KUONGEZA UWEZO WA UBONGO WAKO KUFIKIRI -JOEL NANAUKA
    1 год назад
  • NGUVU YA AKIBA: Hatua Muhimu Katika Kuweka Akiba Salama Ya Kifedha | Michael Kamukulu
    NGUVU YA AKIBA: Hatua Muhimu Katika Kuweka Akiba Salama Ya Kifedha | Michael Kamukulu
    10 месяцев назад
  • MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI
    MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI
    10 месяцев назад
  • Usidanganywe na Sura Ya Upole (Usipotezwe na siri za watu wapole)
    Usidanganywe na Sura Ya Upole (Usipotezwe na siri za watu wapole)
    9 месяцев назад
  • Jinsi ya Kupata Upya Mwelekeo wa Maisha Yako | Michael Kamukulu
    Jinsi ya Kupata Upya Mwelekeo wa Maisha Yako | Michael Kamukulu
    9 месяцев назад
  • Jinsi ya Kuongeza Mvuto kwa Watu ili Wakupende zaidi (Mbinu 10 za kuwa mtu tofauti mwenye kibali)
    Jinsi ya Kuongeza Mvuto kwa Watu ili Wakupende zaidi (Mbinu 10 za kuwa mtu tofauti mwenye kibali)
    1 год назад
  • MISINGI 10 YA FEDHA, MAISHA NA MAFANIKIO
    MISINGI 10 YA FEDHA, MAISHA NA MAFANIKIO
    7 лет назад
  • ONGEZA USHAWISHI LWA KUZUNGUMZA MBELE ZA WATU. Tumia mbinu hizi by Rodrick Nabe
    ONGEZA USHAWISHI LWA KUZUNGUMZA MBELE ZA WATU. Tumia mbinu hizi by Rodrick Nabe
    1 год назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com