Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI

  • LENZI | Michael Kamukulu
  • 2025-04-02
  • 5690
MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI
  • ok logo

Скачать MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI

Makosa ya KIPESA Unayopaswa Kuepuka ili Kujenga Uhuru katika uchumi wako binafsi na maisha yako ya kifedha. Jifunze zaidi na Michael Kamukulu kupitia ‪@lenzi.michaelkamukulu‬

"Utajiri wa kweli hauji kwa bahati, unajengwa kwa maamuzi sahihi ya kifedha na nidhamu thabiti."

Katika video hii, tunajadili makosa ya kifedha ambayo watu wengi hufanya bila kujua na jinsi ya kuyakwepa ili kuimarisha hali ya kifedha kwa muda mrefu. Inawezekana ni katika kuanzisha biashara, matumizi ya familia, matumizi binafsi hata katika kuweka akiba na kufanya uwekezaji.

Mafanikio kifedha ni matokeo ya tabia ya mtu husika katika kutafuta na kupata pesa, kuitunza, kuilinda na kuongeza thamani na uzalishaji wake kifedha.

Moja ya makosa makubwa ni kutegemea mikopo kama njia ya kuendesha maisha ya kila siku kwenye vitu vya kawaida. Mikopo ya kimaendelea, hasa kwenye biashara ni muhimu na inashauriwa kwa wale wanaotafuta maendeleo, lakini tahadhari kubwa inabidi iwepo hasa kwenye ufahamu, nidhamu, mienendo na tabia ya mhusika kwenye maisha yeake ya kifedha.
Watu wengi hujikuta wakikopa ili kugharamia matumizi ya kila siku badala ya kuwekeza kwenye vyanzo vya mapato. Kutegemea mikopo bila mpango mzuri wa urejeshaji kunaweza kusababisha mzigo wa madeni usioisha na kuzuia maendeleo ya kifedha.

Pia, ni muhimu kuhakikisha kuwa matumizi yako hayazidi kipato chako. Watu wengi huanguka kwenye mtego wa kutumia zaidi ya wanavyoingiza, jambo ambalo huwasukuma kwenye madeni au uhaba wa fedha. Hii inahusiana na sheria ya kifedha inayojulikana kama Parkinson’s Law, ambayo inaeleza kuwa matumizi ya mtu yanaongezeka kulingana na kipato chake. Bila nidhamu, mtu anapopata kipato kikubwa, anaongeza matumizi badala ya kuwekeza au kuweka akiba, na matokeo yake ni kwamba hana uhuru wa kifedha licha ya kuwa na mapato makubwa.

Makosa mengine yanayowakwamisha wengi ni kutafuta utajiri wa haraka. Watu huvutiwa na mipango ya kupata pesa kwa muda mfupi, mara nyingi kupitia miradi isiyo na msingi thabiti, ulaghai wa kifedha (scams), au hata uwekezaji wa hatari bila uelewa wa kutosha. Utajiri wa kudumu haujengwi kwa njia za mkato bali kwa nidhamu, uvumilivu, na maamuzi sahihi ya kifedha.

Katika video hii, utajifunza kwa kina jinsi ya kuepuka makosa haya na kujenga msingi imara wa kifedha unaoweza kukupa uhuru wa kweli wa kiuchumi.

🔥 Tazama video hii hadi mwisho ili kufahamu mbinu za kuboresha usimamizi wa fedha zako! 🔥

Usisahau ku-LIKE, KUSHARE, na KUSUBSCRIBE kwa mafunzo zaidi! Na muhimu zaidi, tuambie kwenye comments ni makosa gani ya kifedha umewahi kufanya au unayoyaona kwa wengine!

***
Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Pata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku.

———————————————
Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo:
1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching)
2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching)
3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development)

Mawasiliano yetu:
Simu: +255 752 465 039
Baruapepe: lenzimindset@gmail.com

* *

Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk

#HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy

Time stamp
00:00 Makosa ya kifedha ya kuepuka
00:14 Usitegemee mikopo
01:06 Matumizi yasizidi kipato
01:48 Usiendeshwe na hisia
02:20 Usitafute utajiri wa haraka
03:03 Usipuuze fursa
03:36 Usitegemee kipato kimoja
04:29 Usikose Mipango na Matumizi
05:16 Usikose Mpango wa kustaafu
06:29 Weka mkazo juu ya elimu ya fedha
07:14 Usipuuze elimu Kodi
07:55 Usikose Akiba
08:53 Usichelewe Kuwekeza
09:30 Closing

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • NJIA 10 BORA ZA KUDHIBITI MATUMIZI YA PESA YAKO | Michael Kamukulu (LENZI)
    NJIA 10 BORA ZA KUDHIBITI MATUMIZI YA PESA YAKO | Michael Kamukulu (LENZI)
    11 месяцев назад
  • HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
    HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA MATATU HAYA....
    5 лет назад
  • Nguvu ya Uwekezaji: Jinsi ya Kuanza na Kujenga Uhuru wa Kifedha Haraka | Michael Kamukulu
    Nguvu ya Uwekezaji: Jinsi ya Kuanza na Kujenga Uhuru wa Kifedha Haraka | Michael Kamukulu
    11 месяцев назад
  • MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA
    MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA
    3 года назад
  • NGUVU YA AKIBA: Hatua Muhimu Katika Kuweka Akiba Salama Ya Kifedha | Michael Kamukulu
    NGUVU YA AKIBA: Hatua Muhimu Katika Kuweka Akiba Salama Ya Kifedha | Michael Kamukulu
    10 месяцев назад
  • Jinsi ya Kuanza Biashara Bila Mtaji wa PESA | Michael Kamukulu
    Jinsi ya Kuanza Biashara Bila Mtaji wa PESA | Michael Kamukulu
    10 месяцев назад
  • Makosa 7 Ya Kuepuka Unapofanya Mauzo
    Makosa 7 Ya Kuepuka Unapofanya Mauzo
    5 лет назад
  • LIFE WISDOM: MAENEO TISA YA KUWEKEZA LEO - JOEL NANAUKA
    LIFE WISDOM: MAENEO TISA YA KUWEKEZA LEO - JOEL NANAUKA
    11 месяцев назад
  • ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO
    ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO
    1 год назад
  • IJUE THAMANI YAKO KABLA DUNIA HAIJAKUAMBIA WEWE NI NANI | GABO ZIGAMBA &  MICHAEL KAMUKULU - LENZI
    IJUE THAMANI YAKO KABLA DUNIA HAIJAKUAMBIA WEWE NI NANI | GABO ZIGAMBA & MICHAEL KAMUKULU - LENZI
    6 месяцев назад
  • Tabia 4 Zinazokupeleka Kwenye Mafanikio ya Kifedha.
    Tabia 4 Zinazokupeleka Kwenye Mafanikio ya Kifedha.
    1 год назад
  • Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako - Joel Nanauka
    Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako - Joel Nanauka
    3 года назад
  • MADHARA YA KUTANGULIZA HURUMA KWA WATU | LENZI - Michael Kamukulu
    MADHARA YA KUTANGULIZA HURUMA KWA WATU | LENZI - Michael Kamukulu
    8 месяцев назад
  • Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini
    Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini
    6 месяцев назад
  • NJIA RAHISI ZA KUJENGA VYANZO VINGI VYA MAPATO KWA HARAKA | CFE. Victor Mwambene.
    NJIA RAHISI ZA KUJENGA VYANZO VINGI VYA MAPATO KWA HARAKA | CFE. Victor Mwambene.
    9 месяцев назад
  • Nidhamu Binafsi: Siri ya Watu Waliofanikiwa Kifedha na Kimaisha.
    Nidhamu Binafsi: Siri ya Watu Waliofanikiwa Kifedha na Kimaisha.
    1 год назад
  • Makosa 7 Yanayotia Hasara Wanaoanza Biashara Ya Airbnb Tanzania (Na Namna ya Kuepuka)
    Makosa 7 Yanayotia Hasara Wanaoanza Biashara Ya Airbnb Tanzania (Na Namna ya Kuepuka)
    8 месяцев назад
  • Tabia 4 Zinazokufanya Upoteze Fedha na Namna ya Kujiepusha Nazo.
    Tabia 4 Zinazokufanya Upoteze Fedha na Namna ya Kujiepusha Nazo.
    1 год назад
  • HII NDIO SIRI YA UTAJIRI WA CHIEF GODLOVE, HAKUNA UCHAWI, ATOA UFAFANUZI MKUBWA
    HII NDIO SIRI YA UTAJIRI WA CHIEF GODLOVE, HAKUNA UCHAWI, ATOA UFAFANUZI MKUBWA
    10 месяцев назад
  • DALILI 7 UMEZALIWA KUWA MKUBWA LAKINI MAZINGIRA YANAKUBANA!¡
    DALILI 7 UMEZALIWA KUWA MKUBWA LAKINI MAZINGIRA YANAKUBANA!¡
    2 недели назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com