WATANO MBARONI MBULU KWA UBADHIRIFU WA FEDHA

Описание к видео WATANO MBARONI MBULU KWA UBADHIRIFU WA FEDHA

Watumishi wanne wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara na Mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Tumati, wanashikiliwa na polisi baada ya kutokea ubadhirifu wa shilingi milioni 141 fedha za ujenzi wa shule hiyo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке