MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU WILAYANI BUHIGWE 2023 - EPISODE 1 (BURUDANI na SHANGWE)

Описание к видео MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU WILAYANI BUHIGWE 2023 - EPISODE 1 (BURUDANI na SHANGWE)

Mwenge wa Uhuru umepokelewa wilayani Buhigwe tarehe 20 Agosti 2023 ikiwa ni muendelezo wa mbio za Mwenge kitaifa. Hii ni sehemu ya kwanza ya Mbio za mwenge ikihusisha shangwe la mapokezi lililofanyika katika kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке