Mwanamke mmoja amethibitishwa kuuwawa kwa njia tatanishi eneo la Bombululu, Mombasa

Описание к видео Mwanamke mmoja amethibitishwa kuuwawa kwa njia tatanishi eneo la Bombululu, Mombasa

Mwanamke mmoja amethibitishwa kuuwawa kwa njia tatanishi na mwili wake kutupwa katika kichaka huko Bombululu Moroto, Nyali, kaunti ya Mombasa. Kulingana na wenyeji , hilo sio tukio la kwanza kufanyika, na sasa wanataka hatua madhubuti kuchukuliwa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке