KALIMATI Rahisi za FASTA FASTA | Njia Rahisi ya Kupika KAIMATI

Описание к видео KALIMATI Rahisi za FASTA FASTA | Njia Rahisi ya Kupika KAIMATI

KALIMATI. Jinsi ya Kupika kalimati. jifunze jinsi ya Kupika kalimati kwa njia Rahisi. mahitaji yake Ni Rahisi kwa kila familia.
MAHITAJI;-
Unga wa ngano (250g)
maji ya vuguvugu (270ml)
sukari ( Kijiko 1 cha chakula)
hamira ( nusu Kijiko cha chakula)
Iliki (nusu Kijiko cha chakula)
chumvi ( nusu Kijiko cha chai)
mafuta ya kupikia (vijiko 2 vya chakula)

SHIRA:-
Maji kikombe 1
sukari kikombe 1
iliki

Комментарии

Информация по комментариям в разработке