GOD YANGA"MAGOMA ANATAKA KUTURUDISHA KUCHANGA BUKU BUKU/ASINGEKUWEPO ENG HERSI TUNGEMPATA WAPI CHAMA

Описание к видео GOD YANGA"MAGOMA ANATAKA KUTURUDISHA KUCHANGA BUKU BUKU/ASINGEKUWEPO ENG HERSI TUNGEMPATA WAPI CHAMA

Leo July 17,2024 Mpenja TV Tumefika Makao Makuu ya Yanga Jangwani na tumezungumza na baadhi ya Wazee waliopo kwenye Baraza la Wazee wa klabu hiyo, Kuhusu kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo mara baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa uongozi uliopo Madarakani, ukiongozwa na Eng Hersi Said ung'atuke madarakani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке