GEORGE BANTU/ HUWA NAFANANISHWA SAUTI YANGU NA EPHRAIM KIBONDE PAMOJA NA GARDNER

Описание к видео GEORGE BANTU/ HUWA NAFANANISHWA SAUTI YANGU NA EPHRAIM KIBONDE PAMOJA NA GARDNER

#ONAIR ni moja kati ya show bora kutoka Clouds Plus tv inayohusisha mastaa wa muziki wa kizazi kipya, wanasiasa, wacheza filamu pamoja na watu mbalimbali maarufu nchini. Unaweza kutazama show hii kila siku ya Alhamisi saa 3;00 usiku kupitia clouds plus pekee kwenye ving'amuzi vya #Azamtv, #Zukutv pamoja na #BarmedasCable kwa wakazi wa Mwanza. Wanaosukuma gurudumu la #ONAIR ni Kim James pamoja na Belinda Williams, wanakwambia #UtataTunautatuaaa.

#AzamtvNo121, #ZukutvNo29, #BarmedasCableNo12

Комментарии

Информация по комментариям в разработке