Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Unajua truck drivers wanapata hela zaidi ya Tsh Milioni 250?

Описание к видео Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Unajua truck drivers wanapata hela zaidi ya Tsh Milioni 250?

Kuendesha malori, Truck Driving hasa USA na Canada inalipa sana. Mtu analipwa zaidi ya dola LAKI MOJA kwa mwaka kwa kuanzia.

Fuatilia interview hii na Shaban, Mtanzania ambaye ni owner-operator wa Truck kupitia kampuni yake TEMBO LOGISTICS.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке