Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Wanapata mshahara milioni ngapi kwa mwezi?

Описание к видео Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Wanapata mshahara milioni ngapi kwa mwezi?

Kuendesha malori, Truck Driving hasa USA na Canada inalipa sana. Mtu analipwa zaidi ya dola LAKI MOJA kwa mwaka kwa kuanzia.

Fuatilia interview hii na Shaban, Mtanzania ambaye ni owner-operator wa Truck kupitia kampuni yake TEMBO LOGISTICS.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке