MKULAZI YAANZA MAJARIBIO YA MITAMBO KWA AJILI YA KUANZA UZALISHAJI WA SUKARI

Описание к видео MKULAZI YAANZA MAJARIBIO YA MITAMBO KWA AJILI YA KUANZA UZALISHAJI WA SUKARI

Kiwanda cha Sukari kilichopo Mbigiri Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kimeanza kufanya majaribio ya mitambo mbalimbali ili kuanza kuzalisha sukari hivi karibuni. Kiwanda hiki kinatarajiwa kuzalisha Sukari ya Majumbani(Brown Sugar) na Sukari ya Viwandani( Refined Sugar).

Ujenzi wa Kiwanda hiki unatekelezwa na Kampuni Hodhi ya Mkulazi inayomilikiwa kwa ubia kati ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii(NSSF) kwa kushirikiana na Shirika la Uzalishaji Mali la jeshi la Magereza (SHIMA).

Комментарии

Информация по комментариям в разработке