#breakingnews

Описание к видео #breakingnews

Wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wamekusanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kujiandikisha, kisha wakaandamana kwenda ofisi za CCM kulalamika.
Wafanyabiashara hao ni miongoni mwa waliohamishiwa kwenye masoko mbalimbali baada ya kuungua Soko la Kariakoo, kupisha ukarabati na ujenzi wa jingo jipya la ghorofa sita.
Soko la Karialoo liliungua Julai 2021 na kuteketeza mali karibu zote za wafanyabiashara.
Kutokana na hilo, Serikali ilitoa zaidi ya Sh28 bilioni kwa ajili ya kulikarabati na kujenga soko hilo dogo.




















































#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Комментарии

Информация по комментариям в разработке