MBINU ZA KUKUZA UWEZO WAKO WA AKILI/IMPROVE YOUR BRAIN POWER FOR MORE SUCCESS

Описание к видео MBINU ZA KUKUZA UWEZO WAKO WA AKILI/IMPROVE YOUR BRAIN POWER FOR MORE SUCCESS

Ikiwa unataka kufanikiwa katika masomo na katika biashara unaweza kutumia ujuzi ambao nimekupatia katika video hii.

Zipo mbinu tano ambazo zitakusaidia kuboresha UWEZO wa akili ambazo nimezieleza hapa kupitia sentensi ambayo inasema.
#masomo
#mafanikio
#moneymindset

KAKA FRANK DADA CHAUSIKU NI MGONJWA

Sentensi hii imebeba mbinu tano hizo. Angelia hapa

KAKA - kuza UMAKINI
FRANK - Fahamu kuhusu ubongo
DADA - DHIBITI stress zako
CHAUSIKU - Kula CHAKULA cha ubongo
MGONJWA- Mazowezi ya ubongo.

Kufahamu jinsi ya kutumia mbinu hizi sikiliza video yangu na uangalie kwa UMAKINI zaidi kwa sababu nimefundisha vitu VYA wazi katika kukuza ubongo wako.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке