TUKI Tumia Mbinu hii kukariri masomo yako kwa haraka/how to remember what you learn

Описание к видео TUKI Tumia Mbinu hii kukariri masomo yako kwa haraka/how to remember what you learn

Wanafunzi Wengi wanatamani kufahamu mbinu bora za kutumia ili waweze kukariri haraka masomo yao

Leo utajifunza mbinu bora zaidi ya kutumia ili uweze kukariri masomo na kufaulu Masomo yako.

Mbinu hii inaitwa Questioning skills.
Mbinu ambayo inamhitaji mwanafunzi kutengeneza masuala kutokana na somo ambalo alikuwa anasoma

Baada ya hapo utatumia masuala uliyotengenza kujiuliza kila unapotaka kufanya revision.

Mbinu hii bora zaidi wanatumia wanasanyansi kugundua vitu tofauti Katika hii dun

#masomo
#necta
#akili

Kufahamu hatua 4 za kukuza uwezo wako wa ubongo hadi asilimia 100 tizama video ya hapa chin
   • Hatua 4 za kukuza uwezo wako wa ubong...  

Usisahau KUSUBSCRIBE Katika channel hii ili uendelee kujifunza jinsi ya kutumia ubongo kitaalamu kukuza kumbukumbu na kufaulu masomo yako

Комментарии

Информация по комментариям в разработке