Kikwete akumbushia ukaribu wake na Manji, akumbushia misukosuko iliwahi kumkuta Manji

Описание к видео Kikwete akumbushia ukaribu wake na Manji, akumbushia misukosuko iliwahi kumkuta Manji

“Baba yake Mehbub Manji ndiye alikuwa rafiki yangu” maneno ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akisimulia ukaribu wake na aliyekuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga SC, marehemu Yusuf Manji.

Kikwete anasema Yusuf Manji alikuwa ni kama mwanae kutokana na ukaribu aliokuwa nao yeye na baba yake Mehbub Manji.

Rais huyo mstaafu wa Tanzania amesimulia pia namna Yusuf Manji alivyokuwa akimshirikisha nyakti za misukosuko na yeye alikuwa akimtuliza.

Imefanyika dua kwa ajili ya Yusuf Manji aliyefariki dunia Juni 30 ,2024 katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.

#Dua #MaishaYaManji #YusufManji

Комментарии

Информация по комментариям в разработке