Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya

Описание к видео Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya

Jumatano ya February 8 2017 mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitaja mbele vyombo vya habari majina mengine ya wanaotakiwa kuhojiwa siku ya Ijumaa kuhusu tuhuma za dawa za kulevya, katika list hiyo Paul Makonda ametaja jina la mwenyekiti wa Yanga na mfanyabiashara Yusuph Manji.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке