DR.SULLE 'BWAWA LILILOTOKANA NA KUDIDIMIA KWA ARDHI KWA DUA YA MCHA MUNGU/MAJI YAKE NI DAWA

Описание к видео DR.SULLE 'BWAWA LILILOTOKANA NA KUDIDIMIA KWA ARDHI KWA DUA YA MCHA MUNGU/MAJI YAKE NI DAWA

#islaamic #drsulle #tanzania #health
Habari hiki ni kipindi cha ziara za Alhaj-Dr.Sulle katika kutembelea Nchi mbalimbali kuhakikisha unapata kitu cha kujifunza na leo tumekuja na Bwawa hili lililopo Nchini Comoro ambalo lina maajabu makubwa sana mtazamaji fuatilia kisa hiki kisha tuachie maoni yako hapa karibu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке