Dr.Sulle:Ukiota nyoka Umekwisha!!

Описание к видео Dr.Sulle:Ukiota nyoka Umekwisha!!

#drsulle #trending #islaamic #tanzania #islaahislamictv #health #ndoto
Kuna madhara makubwa ukiota Ndoto Nyoka wanakukimbiza au kukun`gata au wakikuzingira.Hii ina maana kubwa na mbaya katika maisha ya mwanadamu.Kupitia kipindi chetu kipya cha TAFSIRI ZA NDOTO ambacho Al-Haj-Dr.Sulle ndiye msimulizi mkuu pata wasaha wa kutazama na kusikisikiliza hapa tuachie maoni yako.USISAHAU KUTU FOLLOW ON INST andika ISLAAH ISLAMIC TV.KARIBUNI SANA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке