MAISHA FEKI YA KIJANA HUYU YALIVYOPELEKEA KIFO CHA MAMA YAKE.!!AJUTIA SANA!! : Movie kwa Kiswahili.

Описание к видео MAISHA FEKI YA KIJANA HUYU YALIVYOPELEKEA KIFO CHA MAMA YAKE.!!AJUTIA SANA!! : Movie kwa Kiswahili.

Kunle ni kijana aliyezaliwa katika familiar ya kitajiri, baada ya kukua katita ujana wake baba yake alifariki na Mama yake kubaki na jukumu la kumlea. Kunle alikuwa akiishi double life yaani Maisha mawili mawili (feki pamoja na halisi) ubqya ni kwamba maisha yake halisi hayakuwa yakupendeza... baada ya muda kunle anakutana tena na Simi na penzi lao kunoga, karibu kutizama kisa hiki cha kusisimua cha kijana Kunle na binti Simi....!!! Usisahau ku like, comment na ku-subscribe..

Комментарии

Информация по комментариям в разработке