JAMEXTD™ - NIKKI MBISHI AKA UNJU™ AMNYEA ZAVARA™

Описание к видео JAMEXTD™ - NIKKI MBISHI AKA UNJU™ AMNYEA ZAVARA™

#JAMEXTD™ - justaminute-extended!
22th April 2018
Prepared & Hosted by Jayjoe “Jizzle” aka MangiThe3rd
Source: www.tizneez.com
TITLE: JAMEXTD™ - UNJU AMNYEA ZAVARA & TANZANIA DAY - Dallas - TX, USA
OUR IG PAGE HERE:   / justaminutedaily  
__________________________________________________________

MUSIC SOUNDTRACK :
_____________________________________________________________________

whatz Gud YouTube™
Jayjoe - Jizzle aka MangiThe3rd
& this is #JAM™ - extended!
______________________________________________________________________

Oy!,
Katika peruzi zangu #mtandaoni asubuhi ya leo, nikapitia kwenye one of my favourite
#tovuti ya mwanangu #mmoko huyu hapa nafahamika kama @batrombulinyingi na
#tovuti yenyewe ni www.tizneez.com - Hapa ndipo nilipokutana na kichwa cha #habari
kisemacho:

TANZANIA DAY YAINGIA DOSARI,
HIVI ZAVARA UNADHANI SISI BADO WASHAMBA
KAMA ENZI ZENU!? - NIKKI MBISHI AHOJI.

BOOOM!.
Baada ya kuona hivyo na huwa nafahamu kuwa #unju ni mzuri sana katika swala zima
la #kujenga #hoja - Na pia namfahamu kaka yetu wa HIP HOP huyu hapa RHYMESON
aka ZAVARA, Nikasema sina budi kuipitia hii #makala na ndipo nilipokutana na haya
mengi ambayo nikaona ni kheri kuwashirikisha nanyi wafuatiliaji wa JAMEXTD™ hapa
angalau kwa kifupi tu .


Kwanza yakubidi kufahamu kwamba NIKKIMBISHI™ aka UNJU™ akishirikiana na WAKAZI™
| SONGA™ pamoja na PTheEMCEE™ walikua APPROACHED na waandaaji wa ONYESHO
au TAMASHA lifahamikalo kama TANZANIA DAY ambalo huwa likifanyika kwa #TRUMP huko
nafikiri kila mwaka katika #jimbo la Dallas - TX, USA.

Unju #amekunya sana kwenye huu #waraka hapa aisee…
nitakachofanya ni kwasomea kwa kifupi tu ambacho ameandika - ila nakushauri
utembelee #tovuti ya www.tizneez.com ili upate kuusoma #waraka mzima
na sababu zaidi za yeye kuandika haya wazi kwa #jamii na #peers wake
wapate kujua nini ambacho #kinacho.

Kuna #paragraph hapa inaanza kwa kusema:

ZAVARA,acha ujanja ujanja wa Temeke huo ndio unaofanya hata u-legend wako kuwa wa kidwanzi,
jifunze kula na vipofu sio nyama na matonge makubwa yote ule wewe halafu sisi utupange,
tushakuwa watu wazima, tulikutana sina hata majukumu ila sasa hivi nina watoto wawili wakubwa
(Malcolm na Nathan)

Muda mwingine unaweza hata kupelekwa kwa Makonda sababu unakwama kuprovide kwa familia
ipasavyo na watu wakadhani unapenda kumbe wadwanzi ambao watoto wao wana insurances za
maisha ndio wanatudhulumu ili tuendelee na hii demokrasia ya manyani.

Nimechoka #KLMY nitasema popote nitakapo simama, sitaki ushoga na mbugila yeyote mwenye
nafsi ya upigaji au dhuluma. Lipeni watu stahiki zao, by the way HAKUNA TENA CHA TANZANIA DAY 2018
(Dallas,Texas) wala Tandale,weka mpunga tuchekeche sio blah blah na kupotezeana muda,
halafu kama ipo ipo tu.

Heshima yangu imeishia hapa naongea na wote mliosababisha disappointments kwa makusudi
mkiongozwa na CHIEF RHYMESON wa zamani ambaye ni ZAVARA wa siku hizi.

Wenu mtiifu nisiyekula wala kulala kwenu,Nicas J.Marwa Machuche aka Nikki Mbishi (UNJU)2018.

Napenda sana #mipasho ya #hiphop aiseee - hahahah #dramadotcom #beef
unajua kwenye #hiphop hakunagaga kuremba kwa kuficha #majina ya #walengwa wala nini
yaani - yaani humu majina yanatajwa yakiambatana na #vitisho pamoja na #matusi juu
ikiwezekana! …. #truetalk.

I CAN’T WAIT KUSIKIA KUTOKA KWA ZAVARA - yeye analo lipi la kusema juu ya #tuhuma hizi
ambazo amerushiwa na #mpwa wake katika #mchezo huu wa hip hop hapa aiseee…

Again,
Tafadhali tembelea #tovuti ya #tizneez™ ili upate kuusoma #waraka au #barua nzima ambayo
#unju ameiandika na kuwa #published hapo #ndugujamaa.
_______________________________________________________________________

I’ve been your Host with the Most,
J.A.Y.J.O.E - Jayjoe
The name is so nice you’ve to say it Twice…Aha!
aka MangiThe3rd Signing out,
& this is #JAM - extended!
_______________________________________________________________
PLEASE - SUBSCRIBE
RING THE BELL - FOR NOTIFICATIONS
LIKE! - THUMB - UP! - AU NDIO!
KISHA - COMMENT MTAZAMO WAKO JUU YA HABARI ILIOJIRI HAPO!.
LOVE YA’LL - AND JAH BLESS - AI’GHT!
________________________________________________________________________

@djchokaupdates
@jayjoeshoo
@skytanzania
@justaminutedaily
@tizneez

Комментарии

Информация по комментариям в разработке